Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,565
Nitamroga hanitishi![]()
![]()
akikusikia ngosha the don
Nitamroga hanitishi![]()
![]()
akikusikia ngosha the don
Uangalie yasije yakakukuta yaliyomkuta Mzambia, taifa linakutegemeaHahaha hawa wako vizuri,Lakini wanaheshimu sana sheria zao,wanawachukuia sana wale wanavunja hizo sheria haswa wageni,,
Ili akasumbue huko auZa kuongeza....
Nisepe niende wapi,yaani hapo ndio nakita mizizi. Sijawahi kuacha mtoto wa kike wala siwezi,wao ndio huwa wananiacha. Kwa maana hiyo mimi mtu mzuri sana.Kwahiyo ukishapata unachokitaka. ..unasepa????
Najitahidi kufanya hivo ila hjali juhudi zanguWewe mbaya....hata kunijulia hali?
We huli nyama yoyoteNachukia watu wanaokula wanyama Na wadudu
Hahahaha kuna vitu vya kuuliza pale ulizo linapo uliza!Inaonekana bro una elimu kubwa sana kuhusu flyover embu tupe faida..............
Yaani wewe ukiambiwa flyover kichwani mwako kuna taswira gani ?
Wewe wa aina yako. ....Nisepe niende wapi,yaani hapo ndio nakita mizizi. Sijawahi kuacha mtoto wa kike wala siwezi,wao ndio huwa wananiacha. Kwa maana hiyo mimi mtu mzuri sana.
Muda wa kulinda ukifika mnitonye.
Nmeanza kumuona kwa mbali anapitsha like,,,Karudi nayy Sikh hizi zilizopita
Hapana, ili arutubishe mwiliIli akasumbue huko au
Leo umepata simu mpya nini?Najitahidi kufanya hivo ila hjali juhudi zangu
Haya ya kuonya uwe unaonya kule,,,Unamwaga mwingi mbele ya mtama,😳Uangalie yasije yakakukuta yaliyomkuta Mzimbia, taifa linakutegemea
Nakula ila I we ishapikwa sitakiwi kumuona akichinjwa. Siwezi kushuhudia kuku akichinjwaWe huli nyama yoyote
Nataka nijue ili kibarua kisije kikaota nyasi... Nisiwe nawinda muda wa kulinda.Wewe wa aina yako. ....
Utalinda Kesho. ..Leo sindikiza tu
Usiniuzie kesi. ..nimapema sana. ...wakati mwingine utanivumiliaNajitahidi kufanya hivo ila hjali juhudi zangu
Ungejua usingesema hivo.. Tatizo juu ya tatizoLeo umepata simu mpya nini?
Unachapia sana
Una roho ndogo sanaNakula ila I we ishapikwa sitakiwi kumuona akichinjwa. Siwezi kushuhudia kuku akichinjwa
Mkuu hiyo ya ngapi?Kumbuka upo lindoni Mazee.Najitahidi kufanya hivo ila hjali juhudi zangu
Nimemfunga kwa solex asichangieNmeanza kumuona kwa mbali anapitsha like,,,
Muache akimbize mwenge,kwani muda wa lindo si bado au tayari umeshatimu ?Mkuu hiyo ya ngapi?Kumbuka upo lindoni Mazee.