JamiiForums Usiku wa manane
Nasubiria Jibu. ...nilishaulizaga sikumbuki nilijibiwa nini?
Kwangu mimi hakuna urafiki kati ya boy na girl labda wote muwe na sifa za ukike kike.

Ila mimi siwezi kuwa na urafiki na mtoto wa kike,nikiona mtoto wa kike ananiletea habari za urafiki huwa nakata mawasiliano,hawachelewi kukuhadhia anavyotongozwa na mengine kadhalika.
 
Back
Top Bottom