Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,134
- 6,419
Msikilize..Anasemaje kwani?
Msikilize..Anasemaje kwani?
Asante kwa kujaliFuraha yako ndio furaha yangu..
Tena nakuona kama vila nilionavyo jua la saa sita mchana.....Oooh! Kumbe una macho makali yaani kujificha kote huku lakini umeniona?![]()
Ndio ujue vijana wanaona na wako lindoni/mawindoniOooh! Kumbe una macho makali yaani kujificha kote huku lakini umeniona?![]()
Mambo madogo hayo..Asante kwa kujali
Kweli nimekukubali, haya nambie kijana mwenzangu!Tena nakuona kama vila nilionavyo jua la saa sita mchana.....
Wakuu wananyatiana vizuriNdio ujue vijana wanaona na wako lindoni/mawindoni
Nawaonea aibu walinzi wenzetu...!Kweli nimekukubali, haya nambie kijana mwenzangu!
Ndio ujue vijana wanaona na wako lindoni/mawindoni
Hivi wewe chako ni nini/ kipi? Hamna namna....Wakuu wananyatiana vizuri
Lindo![]()
![]()
Hivi wewe chako ni nini/ kipi?
Samahani lakini!
Mzee baba, mshahara umetoka jana!Weekend sijui ndo ishaanza maana sielewielewi
Wewe pia nimekumissimo ujueHaya ndio mambo sasa
Lindoni mixer windoniWakuu wananyatiana vizuri
HahahaWewe pia nimekumissimo ujue
Kuweka mikono kwa nyuma ni ishara ya kufulia, mwambie aiweke mfukoniNimekuona bro,huku mikono umeiweka nyuma.
Ndio, kwa kukukaribisha vizuri![]()
![]()
nikulipe
Ndo wapi? Mi sipajui naomba unipelekeMfuate chemba
Kuweka mikono mfukoni ni kukosa kujiamini,na vipi ikitokea uka jikwaa balance utaiata wapi ?Kuweka mikono kwa nyuma ni ishara ya kufulia, mwambie aiweke mfukoni