Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Fanya na makubwa basi[emoji39]Mambo madogo hayo..
Fanya na makubwa basi[emoji39]Mambo madogo hayo..
Yaani nikutoe lindoni nikupeleke mawindoni? Nitake radhiNdo wapi? Mi sipajui naomba unipeleke
Akina nani hao?Wakuu wananyatiana vizuri
Bro tupe muda kidogo tuwinde......Wadau msigeuze lindoni ikawa mawindoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtoto wa kiume unakuwaje na aibu bwana, we sema nakusikilizaNawaonea aibu walinzi wenzetu...!
Haya nayotaka kukwambia nikiyaweka hadharani nitaharibu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtoto wa kiume unakuwaje na aibu bwana, we sema nakusikiliza
Ruksa MkuuBro tupe muda kidogo tuwinde......
Umecheka au umenicheka?[emoji848]Hahaha
[emoji57] [emoji57]Lindo
Mgeni siku zote hukaribishwa vizuri ndio desturi ya mwafrika.Ndio, kwa kukukaribisha vizuri
Shukrani sana kaka mkubwa......nimekupa kijiti one time nikimaliza kuwinda nakuja kuchukua.Ruksa Mkuu
PmNdo wapi? Mi sipajui naomba unipeleke
Akishindwa na hapa duh, na nikiona mmepotea najua mko PM ,kila la kheri huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtoto wa kiume unakuwaje na aibu bwana, we sema nakusikiliza
Mpeleke mwana mwari huyo.
Kweli aisee haifai kabisa. Maana tukianza kuwindana hapa tutavamiwa bila habari![emoji23][emoji23][emoji23]Wadau msigeuze lindoni ikawa mawindoni
Karibu00:55
Nimetinga lindoni
Kuna kijana kaomba chemba kdg msikizeKweli aisee haifai kabisa. Maana tukianza kuwindana hapa tutavamiwa bila habari![emoji23][emoji23][emoji23]
Akifanya kweli hapa atakuwa amenionea na akishindwa atakuwa ameniogopa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akishindwa na hapa duh, na nikiona mmepotea najua mko PM ,kila la kheri huko