Achana nae huyo wewe deal na mimi.Asante sana! Maana mtu chake ananionaga kihiyo hapa![]()
Achana nae huyo wewe deal na mimi.Asante sana! Maana mtu chake ananionaga kihiyo hapa![]()
Nililiona hilo kwa ukarimu ulio nionyesha sioni cha kukulipa na kikakufaa.Kwako nilizidisha ukarimu ina maana hukuliona hilo?![]()
Hapana mm nakuelewa sana ,tena sana mno ,huwezi kujua tu ila nakuelewa kweli kweli ,cjui km na wewe unanielewaAsante sana! Maana mtu chake ananionaga kihiyo hapa![]()
Pole dear, Don naye kapotea huku, unamchosha sana nini?Huku mahudhurio yangu hafifu Sana labda weekend. Leo usingizi tu umekata

Karibu malindoni na kuwindana.Huku mahudhurio yangu hafifu Sana labda weekend. Leo usingizi tu umekata
DuhAchana nae huyo wewe deal na mimi.
Ayyyyaaaaaa !!!
Hapana mm nakuelewa sana ,tena sana mno ,huwezi kujua tu ila nakuelewa kweli kweli ,cjui km na wewe unanielewa
Swali lako limekaa kimtego mtego nitakujibu kukipambazukaMkuu umepiga nyundo ya utosi,tuoneane huruma MzeeAyyyyaaaaaa !!!
Cha ajabu nilivyokuja chuga ukanitelekezaNililiona hilo kwa ukarimu ulio nionyesha sioni cha kukulipa na kikakufaa.


JikazeUnakumbuka niliwahi kukwambia kuhusu hii avatar yako ? Unatuharibia majukumu yetu kipande hiki.
Hkn mtego hapo, labda wewe ndio uone mtego,ila nimekuelewa sana tu ,sitaki kupigwa nyundo za utosini,SAA hz nikazima lindo likabaki wazi![]()
![]()
Swali lako limekaa kimtego mtego nitakujibu kukipambazuka
Kumbe na wewe umemuona eeeh! Aje tusaidiane hiki kibaruaHuyu Astelia miyeyusho ajabu yeye ana like. Tuko mapumzikoa usijidai unajua kulinda sana,njoo tujumuike kidogo kisha turudi kwenye malindo yetu.

Si nilikueleza lakini. Nisamehe kwa hiloCha ajabu nilivyokuja chuga ukanitelekeza![]()
Tatizo nazidiwa.Jikaze
Njoo na konyagi ndogo mbili au kubwa mojaNaenda kuwasha fegi hapo kwa dogo stendi ya bodaboda narudi asahivi,
Mbona mapemaMlinzi wa geti namba 4 anaanza kusinzia
Alaa kumbe!Mkuu ukiwa unanyata unaweka mikono nyuma ili ubalansi mwili na kuruhusu kunyata effectively, ukiweka mfukoni unapoteza balansi![]()
Ngoja kukipambazuka nitajaribu kunyata kwa style hii