Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Subiri nikupe dawa
Tatizo nazidiwa.
Tatizo nazidiwa.
Nipe aisee....Subiri nikupe dawa
UsingiziMbona mapema
Kweli wewe mlinzi mwandamizi, naomba nikachimbe dawa ila nisoporudi tena mrejee hiyo comment hapo juuFanyeni yote mkumbuke jukumu letu ni kulinda,na huwezi kulinda km hukeshi ,na huwezi kukesha km una usingizi

Ushajua dawa ya nn? Utapewa Valium ulale Mkuu, lindo liibiweNipe aisee....
Okey sawa. Usiku mwema.Usingizi
Tatizo unaingia kwenye anga zangu.Mkuu umepiga nyundo ya utosi,tuoneane huruma Mzee
Itafahamika tu,siitumii mpaka aanze yeye kwanza.Ushajua dawa ya nn? Utapewa Valium ulale Mkuu, lindo liibiwe
Sasa tunakupa Valium ulale ,unasumbua sana ,HahahaTatizo unaingia kwenye anga zangu.
Hawezi kunipa hiyo....MPE Valium alale ,tufanye yetu 😀 😀
Mlinzi wa geti namba 4 anaanza kusinzia
Hii sio dalili njema kwa lindo letuNaenda kuwasha fegi hapo kwa dogo stendi ya bodaboda narudi asahivi,
Hahahahaha halali mtu hapa....Sasa tunakupa Valium ulale ,unasumbua sana ,Hahaha
Hahaha, acha utundu wewe kunywa dawaItafahamika tu,siitumii mpaka aanze yeye kwanza.
Umezoea dozi Mara ngapi?Nipe aisee....
Uno tu ila huwa naongeza kutokana na utamu .......Umezoea dozi Mara ngapi?
Lindo jemaOkey sawa. Usiku mwema.
Haitatutosha maana na mimi natakaNjoo na konyagi ndogo mbili au kubwa moja
Haha..ndicho atakachopatiwaMPE Valium alale ,tufanye yetu 😀 😀
Unaitwa ofcn kwa PM ujueHii sio dalili njema kwa lindo letu