Huwa sibishani na mtoto na mkike,sababu huwa napata shida kumchagulia maneno malaini ya kumpa. Kwahiyo kitu ambacho huwa nakifanya ni kumpa onyo au kukaa kimya.Asante sana kwa kunipendelea, maana nimeogopa nisije nikakuita majina yetu ya kike ya shost, ukanirushia ngumi bure

