Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,655
Mchina wewe uwezo wa kunitatulia shida yangu unao, labda tu unifanyia ntima nyongoNdio nakusikiliza,Ikiwa shida ipo kwenye uwezo wangu,,
Mchina wewe uwezo wa kunitatulia shida yangu unao, labda tu unifanyia ntima nyongoNdio nakusikiliza,Ikiwa shida ipo kwenye uwezo wangu,,
Hawezi pita kimya. ...angenifukuza nikalaleNimemuona kapita hapa kimya kimya
Ila kweli, basi nifungulie mlango wa chumbani kwako nije kukunong'onezaHapa wengi wako msibani haifai kumwaga mboga,,,,,
Basi labda macho yangu yamenidanganya, ukifika umsalimie. Mwambie nimemmiss kweliHawezi pita kimya. ...angenifukuza nikalale
Nimefurahi kusoma neno la Kingoni,Nyumbii Bombii,,,,,[Ntima nyongo],,,,Natumai hakuna aliepoteza maisha kwenye ajali mbaya ya meli,Mchina wewe uwezo wa kunitatulia shida yangu unao, labda tu unifanyia ntima nyongo
Zimefika. ...usijaliBasi labda macho yangu yamenidanganya, ukifika umsalimie. Mwambie nimemmiss kweli
Tupo tumejaa tele kama pishi la mchele, karibu mwanakwetujamani mpoo?
Karibu,,,Ila kweli, basi nifungulie mlango wa chumbani kwako nije kukunong'oneza
Tupo blaza !jamani mpoo?
Asante dearZimefika. ...usijali
AsanteKaribu,,,
Mambo Zurri!Tupo blaza !
Shwari mzima bibie ?Mambo Zurri!
Mgeni utakunywa nini chai au gahawa?nilifikiri tayari hongereni sana lindo liko salama
Mie mzima, hofu kwakoShwari mzima bibie ?
Niko swalama ! Nipe habari.Mie mzima, hofu kwako
Gahawa tupu au nikupe na kashata?gahawa tu