Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Brother K mjinga sana aliwahi kusema amejaa tele kama pishi la makandeTupo tumejaa tele kama pishi la mchele, karibu mwanakwetu
Brother K mjinga sana aliwahi kusema amejaa tele kama pishi la makandeTupo tumejaa tele kama pishi la mchele, karibu mwanakwetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] siyo mjinga, aliamua kutoka kivingineBrother K mjinga sana aliwahi kusema amejaa tele kama pishi la makande
Yani siku hiyo nilicheka sana[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] siyo mjinga, aliamua kutoka kivingine
Hapo sawaNimekupa angalizo sijasema mimi ni msanii,yaani uwe makini katika kunifatilia kimya kimya.
Inaonekana wewe muelewa sana !Hapo sawa
Poa.Jamani usiku mwema ngoja nikakae kwanza peke yangu kwenye pembe ileeee nikatafari hiki kibarua changu cha ulinzi
Asante. ...upumzike salamaJamani usiku mwema ngoja nikakae kwanza peke yangu kwenye pembe ileeee nikatafari hiki kibarua changu cha ulinzi
Dah na mimi itabidi nitoke tu humuJamani usiku mwema ngoja nikakae kwanza peke yangu kwenye pembe ileeee nikatafari hiki kibarua changu cha ulinzi
Usiku mwemaDah na mimi itabidi nitoke tu humu
[emoji4]umeamini kabisa naweza kulala mapema hivi ?Usiku mwema
Nakushangaaa unataka kususia lindo.[emoji4]umeamini kabisa naweza kulala mapema hivi ?
Siwezi mpk saa tisaNakushangaaa unataka kususia lindo.
Sleep tightNilikuwepo jamani. Tukijaaliwa
bila shaka unaenda kuwajibikaNilikuwepo jamani. Tukijaaliwa
[emoji23]bila shaka unaenda kuwajibika
akupeleke wapAliyepo macho anitoe lindo