Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Mlango uko wazi,,,,Asante
Mlango uko wazi,,,,Asante
Samahani naomba kuuliza ZNiko swalama ! Nipe habari.
Uliza bibie ! Karibu.Samahani naomba kuuliza Z
NakujaMlango uko wazi,,,,
Jamani dingimtoto, nilikumiss sana! Sie wazima hofu kwakoWandugu hamjambo?
Samahani lakini kama nitakukwaza, hivi wewe ni ke au me?Uliza bibie ! Karibu.
Aww!! [emoji9][emoji8] asante Jamani asanteJamani dingimtoto, nilikumiss sana! Sie wazima hofu kwako
Me. Ila mpaka nakujibu hili swali ujue nimekupendelea sana,wengine huwa siwajibu.Samahani lakini kama nitakukwaza, hivi wewe ni ke au me?
Sorry nimeshindwa kuingia chumbani kwako nakunong'onezea hapahapa, eti kwani hilo jina lako lina maana gani?Mlango uko wazi,,,,
Unasema ?Oya nyie popoo
Mie pia sijambo, mbona ulipotea hapa kijiweni? Umemwacha wapi HB wa kigogo?Aww!! [emoji9][emoji8] asante Jamani asante
Me bukheri Wa afya sijui wewe mpendwa
Nyie mapopoooUnasema ?
Asante sana kwa kunipendelea, maana nimeogopa nisije nikakuita majina yetu ya kike ya shost, ukanirushia ngumi bureMe. Ila mpaka nakujibu hili swali ujue nimekupendelea sana,wengine huwa siwajibu.
Huwa nawaambia hivi " Wakiona watakujibu ".
Daaaah !Nyie mapopooo
Popo wameshalala tumebaki mabundiOya nyie popoo
Nilikua, busy na kutafuta shekeliMie pia sijambo, mbona ulipotea hapa kijiweni? Umemwacha wapi HB wa kigogo?