Poa.nkiadimika jua kaka yako amenibananisha, nkipata kachansi naja kuwasalimia kama hivi.
Serengeti liteBia gani hiyo mkuu ?
Kaka mkubwa muda bado....Lindozz..
Jiandae kuja lindoni...Kaka mkubwa muda bado....
Nipo huku jamii intelligence one time ..... Nikitoka huku natimba huku kuja kuendelea na majukumu.Jiandae kuja lindoni...
Kwa wewe ni kuanzia saa tatu mpaka 4Hivi mda mzuri wa kulala ni saa ngapi?
Usiku au mchana??Kwa wewe ni kuanzia saa tatu mpaka 4
itakua asubuhiUsiku au mchana??
UsikuuUsiku au mchana??
Hua halina member wengilindo la mwanzo wa wiki
kabisa ila tarehe za matumaini hiziHua halina member wengi