Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Ha ha ha[emoji23]kabisa ila tarehe za matumaini hizi
Abee!
Naomba nije kutumia na wewe[emoji6]kabisa ila tarehe za matumaini hizi
usijali,Abee!
Afadhali umeniita, nina shida na wewe[emoji23]
Unaenda wapi tena usiku huu ?Nilikuwepo
Ndio kwanza mkoko unaalika maua wewe unaenda zako!Nilikuwepo
KulalaUnaenda wapi tena usiku huu ?
Daaah !Kulala
Wewe ushaona Jua acha sisi tulaleNdio kwanza mkoko unaalika maua wewe unaenda zako!
Unamaanisha nini? Uko tayari kunisikiliza?usijali,
Ndio nakusikiliza,Ikiwa shida ipo kwenye uwezo wangu,,Unamaanisha nini? Uko tayari kunisikiliza?
Hapa wengi wako msibani haifai kumwaga mboga,,,,,Nikunong'onezee hapa hapa au twende chobingo[emoji6]