Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,655
Asante dearKaribu
Sent using my NOKIA torch
Asante dearKaribu
Sent using my NOKIA torch
Pole kipenzi changu
Nakusubiri. Maana yule bwana hakuwa na nidhamu kabisa. Amemuowa rafiki yako. Halafu kwanini mkafunge ndoa bomani? Hebu twende kwa wazazi watupe ridhaa....tufunge kama dini inavyotaka.Asante dear
Tobaaaaa!Pole kipenzi changu
Anywe maji tu
Acha kunitisha babu. Kuna mtu anaibiwa hapa.
hahaha usicheze na viumbe hawa ukajiona mjanja watakucheka mkuu.Acha kunitisha babu. Kuna mtu anaibiwa hapa.
Sent using my NOKIA torch
Ukiwa na pesa itasifiwa kitambihahaha usicheze na viumbe hawa ukajiona mjanja watakucheka mkuu.
any way, habari za huko uliko mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
pole na hongera, usikimbize sana sasa usije ukaanguka....taratibu tutafika tu.Kaka,nilikuwa nakimbizana na maisha bana.
Usiku mwemaAtakayemwona Astelia wangu mwambie namuhitaji
Ngoja nirudi nyuma nihakiki
Huu upendo mbona naona unashuka kama graph za TwawezaUsiku mwema
Hauwezi shuka mpenzi leo nimechoka balaa nipe pole.Huu upendo mbona naona unashuka kama graph za Twaweza
Pole sana mpenzi. Niliona kimyaaHauwezi shuka mpenzi leo nimechoka balaa nipe pole.