JamiiForums Usiku wa manane
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!


nlikua na stiresi.... nimeenda maeneo nimekata vitu tangu sa 11 nkijua nikirudi napata usingizi lakini wapi.... ndo meamua kujipooza na jf.
 
Back
Top Bottom