Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
JF kila uzi una wachumba wake, unakuta humu watu wanaitana babyHivi ukiwa na mchumba kwenye huu Uzi anakuwa na ni wa usiku tu au hadi mchana kwenye threads zingine mnafatana?
Kesho mchana kwenye uzi mwingine wanaitana shemeji
Sent using Jamii Forums mobile app