Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Akija mwambie nimemmissAhsante,. Naitwa mama "N" sikuhizi ambi[emoji16][emoji16]
Handsome wa kigogo leo sijui yuko wapii
Akija mwambie nimemmissAhsante,. Naitwa mama "N" sikuhizi ambi[emoji16][emoji16]
Handsome wa kigogo leo sijui yuko wapii
Nsameee mie mama angu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12]Yeuuwwwiii hivi unajua huna akili ww[emoji23][emoji23]mate yashaa mdomoni jomonii..wTF [emoji23][emoji23][emoji23]mfyuuuu naona unataka kunikausha uzazi SAA hii usiku huu natoa wapi mm embe mbichi bichwa lako lione vile ndio maana ambiele kivielee ww[emoji23]...em mie[emoji125][emoji125][emoji125]
Sijui kama atanikuta,.naenda nyonyesha pacha shosti...Akija mwambie nimemmiss
Haya nletee vibungo 8 adhabu yako...Nsameee mie mama angu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu naona huamin kama pacha umezimdosha wwSijui kama atanikuta,.naenda nyonyesha pacha shosti...
Unahusika nini?Hahahahaha
Hahahahaa siaminiiii kuitwa mama sio mchezo...tumeenda leba wengi tulio rudi nawatoto wachache...
Asante, msalimie mahondwa mwambie twampenda
Kama ni wa kiume wape majina haya japo mim sio baba wa mtt ila ni uncle wa mbali sanaSijui kama atanikuta,.naenda nyonyesha pacha shosti...
Sema asant mungu kwa kira jamboHahahahaa siaminiiii kuitwa mama sio mchezo...tumeenda leba wengi tulio rudi nawatoto wachache...
Lina maana gani hilo jina lako??Kama ni wa kiume wape majina haya japo mim sio baba wa mtt ila ni uncle wa mbali sana
Goodluck
Gobless
Wa kike
Grory
Gradness
Ukipata mmoja tuu mpe @Ambielekiviele
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfyuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]nikileta mwingine ntachagua kati ya hayo...wa sasahv wanaitwa Nathaniel&Nathalie...Kama ni wa kiume wape majina haya japo mim sio baba wa mtt ila ni uncle wa mbali sana
Goodluck
Gobless
Wa kike
Grory
Gradness
Ukipata mmoja tuu mpe @Ambielekiviele
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko pande zipi wewe?Kipenzi. Huko Nungwi wafanya nini Kaskazini Unguja? Hebu njoo huku bibie
Sent using my NOKIA torch
Wapare hawa?Mfyuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]nikileta mwingine ntachagua kati ya hayo...wa sasahv wanaitwa Nathaniel&Nathalie...
Basi wewe mzuri!Hapana. Nayajua maumivu ya mapenzi. Heri mtu aniache mimi. Nikipenda huwa napenda kweli na mwanamke anafurahi. Sipendi kuumiza mtu.
Sent using my NOKIA torch
Hahahahaaaa punguza wivu kidogo basi