The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Nipo,majukumu yananizidi umri tu hapa that's why napotea huku. Nimewamiss tho
Tumefurahi kukuona ila punguza majukumu yaendane na umri wako.
carbamazepine
Nipo,majukumu yananizidi umri tu hapa that's why napotea huku. Nimewamiss tho
Lamba asali tafuna na tangawiziNimeshikwa na kikoozi cha ghafla aise
hiyo signature kibokoWengine tupo baharini ndo tupo kazini. Kurudi alfajiri
Sent using NOKIA torch with My Camera
Jambo zuli hilo hamkakutana na mambo ya kupazwa kwa viumbeWengine tupo baharini ndo tupo kazini. Kurudi alfajiri
Sent using NOKIA torch with My Camera
Vyote hivo sina kiongozi fanya kunileteaLamba asali tafuna na tangawizi
Kama hakuna hapo home niambie nikuletee hapo kwenu mana sio mbali kutoka home boy
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo imara zaidi ya chuma cha mjerumani hata usijali
Gkhaaa!!? We mie mkongwe humu
Sijakuelewa mkuu
Brother...okay...let me note that.
Hiyo bahari ipi inayokuruhusu kufurahia jf usiku wa manane?Wengine tupo baharini ndo tupo kazini. Kurudi alfajiri
Sent using NOKIA torch with My Camera
sister...Brother...
Mi niliwaacha hapo nje baada ya bbade kuniambia kuna panya ndan ivyo nikamsaidie kukill ( pilau tayar )Walishindana ila hawakushinda, Ambiele Kiviele nilimwona akijaribu kuwazuia kuingia ndani, akawa anapiga nao story kwa nje.
Wacha weeee. Lindoni Casablanca hapo😹😹Nipo hapa karibu na huu mjemgo mweupe napigwa na upepo huku nimeshika AK47 nawachek tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Signature ya kibabe
Shemela..Brother...
Yes,so??