Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
Hakuna shida ila next timw jaribu kuwa na vitu kama ivyoVyote hivo sina kiongozi fanya kuniletea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida ila next timw jaribu kuwa na vitu kama ivyoVyote hivo sina kiongozi fanya kuniletea
Bahari ya HindiHiyo bahari ipi inayokuruhusu kufurahia jf usiku wa manane?
ShemejiiiiiiiiShemela..
So soYes,so??
Poa ila kuna tangawizi ya unga hapa inasaidia??
Ulishawai sikia kitu kinachoitwa kupazwa kwa viumbe baharin?Sijakuelewa mkuu
Sent using NOKIA torch with My Camera
Story hizo.
Hizi kesi za kununua sipendiiiMi niliwaacha hapo nje baada ya bbade kuniambia kuna panya ndan ivyo nikamsaidie kukill ( pilau tayar )
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo bahari ipi inayokuruhusu kufurahia jf usiku wa manane?
Kilinge hakifi hiki..hakuna kinachobadilika.Humu ndani tunapokezana, zama zikichange wanakuja wapya, Ila mara moja moja wenyeji kuja kama hivi inahusika.
Yan hapa watu wakizingua tuuu ni mwendo wa kichura churaWacha weeee. Lindoni Casablanca hapo[emoji81][emoji81]
You are missedsister...
Wacha wee kumbe mabaharia mnafaidi eeeh!Bahari fill Wi Fi, internet 4G dreamliner haitii ndani.
Jamaniii weweee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nipo,majukumu yananizidi umri tu hapa that's why napotea huku. Nimewamiss tho
WizooooooooooooJamaniii weweee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
i missed you too sis, ulitukimbia!You are missed
Kilinge hakifi hiki..hakuna kinachobadilika.
Kuhusu hilo mulize mama yetu bbadePoa ila kuna tangawizi ya unga hapa inasaidia??
Kwaiyo sio kweri hayo mambo?Story hizo.
Sent using my NOKIA torch