Carnivora
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,650
- 6,028
JF usiku wa mananeTunaenda na mada husika. Mida ya popo utaona hii post inavyotrend
Sent using my NOKIA torch
JF usiku wa mananeTunaenda na mada husika. Mida ya popo utaona hii post inavyotrend
Hapana,sijawahi. Lakini najua mziki wao,nishawahi kuona.
Kijana vipi? Una lolote la kusema?
[emoji13][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] umedondosha pacha hongera sana kwa hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niweze wapi kichura chura na utu uzima huu wizoo...nyonga zimeshakaza na hivi nimedondosha pacha wooiiiii
Leo majira ya saa 3 asubuhi kwa saa za Afrika mashariki umiepost kwenye huu uzi kinyume cha taratibu zetuMimi sijawahi, ni mtiifu.
NdiooJF usiku wa manane
Sent using my NOKIA torch
Ahsante wizzo wa mimi..tunalea tuu sasahivi...uje basi uwaone watoto wiiii
Hii kitu inaitwa ontimeTunaenda na mada husika. Mida ya popo utaona hii post inavyotrend
Amezingua,hajui Geri linafungwa saa 11 alfajiri.Leo majira ya saa 3 asubuhi kwa saa za Afrika mashariki umiepost kwenye huu uzi kinyume cha taratibu zetu
Tunaenda na mada husika. Mida ya popo utaona hii post inavyotrend
Mtafute umuulizeee....Ah ah ah ah ah
Iv yule mzee wa jana alikuwa mtaani kwako mtaa wa kwamfuga mbwa....¿
Sent using Jamii Forums mobile app
Inshalaah,Ukuze hiyo zawadi vyemaAhsante wizzo wa mimi..tunalea tuu sasahivi...uje basi uwaone watoto wiiii
Yeah
Leo majira ya saa 3 asubuhi kwa saa za Afrika mashariki umiepost kwenye huu uzi kinyume cha taratibu zetu
Ahsante,. Naitwa mama "N" sikuhizi ambi[emoji16][emoji16][emoji13][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] umedondosha pacha hongera sana kwa hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale jamaa hawana huruma waleHapana,sijawahi. Lakini najua mziki wao,nishawahi kuona.
Sijui hizo Dawa za kijijini mbona
Alhamdullillah,.wabilah tawfiq wizo..Inshalaah,Ukuze hiyo zawadi vyema
Hahahahaaaaa kweli? Usijeniumiza moyo kama mwafulani![emoji8]Ulisema tu Asante. Nikawaza ina maana huyu haelewi somo?
Basi mie moyo umekufia kwako bidada.
Sent using my NOKIA torch
Nakazia hapa asije sahau zawad za malaikaAhsante wizzo wa mimi..tunalea tuu sasahivi...uje basi uwaone watoto wiiii