Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,150
JizimisheMwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu
Sent using Jamii Forums mobile app