Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
huyo mchawi amekushindwa, ninakuapia angekuweza ungekata kihereheree
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mchawi amekushindwa, ninakuapia angekuweza ungekata kihereheree
Kiherehere gani?huyo mchawi amekushindwa, ninakuapia angekuweza ungekata kihereheree![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
HahAha mimi wala sijasemaTatizo mnasema sisi wabaya haya wacha tuweke avatar mnazotaman tuwe nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi cha muhimu shape. Sura ntakuvumilia
huyo anayejiona mzuri aweke avatar yake halisi hapaTatizo mnasema sisi wabaya haya wacha tuweke avatar mnazotaman tuwe nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni %kwa%...hujakoseamrembo umetinga kwa tabasamu taamu kulikoni
hebu sema neno juu ya Thad wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shape ndo hiyo sasa nyonyo refu kama zaburi 119HahAha mimi wala sijasemamimi cha muhimu shape. Sura ntakuvumilia
Sent using Jamii Forums mobile app
hujanielewa, ukirudi nyuma utaona anaomba ushauriHapo ni %kwa%...hujakosea
Naona ziwa Victoria na Tanganyika yame damshhii kifuani woii

Mimi sijui nyie mnasema sisi twaweka avatar nzuri sisi wabaya haya mm naweka avatar yenye uhalisia 87% kufanana na mm
weka alarm iite halafu jifanye unapigiwaMwenye namba yangu anipigie simu 'aseme nina emergency nahitajika haraka sehemu ' Nimekutana na mtu wa Forever huwa namheshimu sana nashindwa kumkimbia jamani anaongea hadi nasikia kizunguzungu
Kama zaburi 119 yalivyo marefuNaona ziwa Victoria na Tanganyika yame damshhii kifuani woii![]()
huwezi kuwaridhisha wanadamu, huyo anasema u mbaya mwambie aweke yake tuoneMimi sijui nyie mnasema sisi twaweka avatar nzuri sisi wabaya haya mm naweka avatar yenye uhalisia 87% kufanana na mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wa nn??