Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Okay anafanya shughuli gani huko hispania?Andres iniesta wa hispañor
Okay anafanya shughuli gani huko hispania?Andres iniesta wa hispañor
Monitor unataka hongo eehKaninunulie muhoho wa kukaanga nikuwekee yupo
Mkuu watani wa jadi wamekutana usishangae. Nishawazoea watani wangu
Sitaki hongo nataka kupoza njaa
Footballer of BarcelonaOkay anafanya shughuli gani huko hispania?
Mkuu watani wa jadi wamekutana usishangae. Nishawazoea watani wangu



daah Nikapitia ule Uzi wa Bikira...nilicheka sana ...
Mkuu Dada Vinci mimi wewe siwezi kukupiga majungu hata siku moja.Naona unapuga madongo chini chini.
Haya bwana
Nikapitia ule Uzi wa Bikira...nilicheka sana ...
yule mkuu chenga sana . Afu ana miaka 24 imagine alivokua 18Mimi ni mfanyakazi mtiifu lazima nifikishe uzembe umezidi mno

Pambana tu na hali yako..Leo nina mia mbili tu mia ya muhogo mia ya ubuyuSitaki hongo nataka kupoza njaa
Hahaaaaa babu bomba hutaki kuonekana mzee mbele ya watoto wakaree hapa..Mkuu Dada Vinci mimi wewe siwezi kukupiga majungu hata siku moja.
Mimi age mate wako, nina miaka 26 nasoma Procurement TIA....
Sent using Jamii Forums mobile app
Unisamehe bure na maswali wachezaji wa mpira hata siwafahamu dearFootballer of Barcelona