Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Nani huyo nikamshughulikieKumchunia/kumnunia mtu
Nani huyo nikamshughulikieKumchunia/kumnunia mtu
Naona ushampata wa ubavuniIntro ya nini bbade
.muangalie utamwonaNani huyo nikamshughulikie
Lile jiwe ulilolikataa sasa limekua jiwe kuu la pembeniNaona ushampata wa ubavuni
Ulisahau nini? Maana huwezi kuchuniwa bila sababu...jitafakari kwanza.muangalie utamwona
JakamoyoLile jiwe ulilolikataa sasa limekua jiwe kuu la pembeni
Nimekumbuka kuna kitu nimemkosea...Ulisahau nini? Maana huwezi kuchuniwa bila sababu...jitafakari kwanza
Jaka upendoJakamoyo
Rudi ukaombe radhi na urekebishe....Nimekumbuka kuna kitu nimemkosea...
Kuomba radhi wapii tenaRudi ukaombe radhi na urekebishe....
Hakuna neno Hilo kwenye KamusiJaka upendo
Huko uliko chuniwaKuomba radhi wapii tena
Nimelitunga mm hili hata yaliyomo kwa kamusi yalianza hiviiHakuna neno Hilo kwenye Kamusi
Te amorNdio
Maana yake?Nimelitunga mm hili hata yaliyomo kwa kamusi yalianza hivii
Ngoja nikamwombe msamahaHuko uliko chuniwa
Te Quero muchoTe amor
Wanazidi kukimbia siku hadi siku.Na hivi hakuna Kazi Leo...sijui wamekimbilia wapi.?
Loving worthyMaana yake?
Umenikumbusha Mkolombia wanguTe Quero mucho