Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Wee unapenda kulala eeh usingiz mbaya
Wee unapenda kulala eeh usingiz mbaya
Usinifanyie hivyo Dada.Hata mm nimeshtuliwa na mtu kua kesho eid.
Ila wewe ni uzee unakusumbua (middle age crisis)
Haya mpenziYupo likizo leo mpenzi
Iniesta ndio nani?Nilikua nahisi nipo na iniesta
Luka....mambo?
Nakumbuka kipindi hicho natoka Nanenane hadi Mbalizi kucheza mpira, tena kwa mguu.01:32
Hahaaaaa vikongwe wa jf hamtakagi kusema kama mmeshakula chumvi. Miaka yote nyie ni under 30
Habari nimesikia unasinzia ovyo lindoni habari hizi zina ukweli wowote?
Andres iniesta wa hispañorIniesta ndio nani?
Kaninunulie muhoho wa kukaanga nikuwekee yupo
Haha..pilika za. Mchana ndio chanzoWee unapenda kulala eeh usingiz mbaya
Usitake kunichafua Dada Vinci bwaana.Hahaaaaa vikongwe wa jf hamtakagi kusema kama mmeshakula chumvi. Miaka yote nyie ni under 30
Davinci ndo dada vinciUsitake kunichafua Dada Vinci bwaana.
Mimi bado nakaa kwa wazazi wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app



Nane nane si Ipo karibu na uyole?Nakumbuka kipindi hicho natoka Nanenane hadi Mbalizi kucheza mpira, tena kwa mguu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinaukweli ndugu yanguHabari nimesikia unasinzia ovyo lindoni habari hizi zina ukweli wowote?