Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,871
Ukifika huko unako kimbilia nishtueMaandiko yanasema "kwa kukirimu wageni, mnapokea na malaika"[emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifika huko unako kimbilia nishtueMaandiko yanasema "kwa kukirimu wageni, mnapokea na malaika"[emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi karibu[emoji15] [emoji15] sasa hapa sijanywa ghahawa macho yapo hivi nikinywa je?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhaa....penda sana watu kama wewe....nimetabasamu ....asante
Nawaaminia mtanilinda
Ni kweli ulisemalo....
Hahahahasee nitavunja tu .. kwakua umeniruhusu
Abeeeee
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu tena bibie.
"Happyness is the ultimate goal of life"
(Hili ndio tatizo langu nikipendwa na mrembo ghafla najikuta nimekua mhaya)
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu basi, nahisi njaa kwa vicheko hivi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu tena bibie.
"Happyness is the ultimate goal of life"
(Hili ndio tatizo langu nikipendwa na mrembo ghafla najikuta nimekua mhaya)
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio mapinduzi mr ni jamaa yake Wa kitambo nilisikiaga mahawala hawaachani ndio nimejua ule msemo una ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu tena bibie.
"Happyness is the ultimate goal of life"
(Hili ndio tatizo langu nikipendwa na mrembo ghafla najikuta nimekua mhaya)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba leo tuishie kwa Dingi kesi yangu naomba ihairishwe.[emoji120]
Niko poa sana wewe je?
Hii ya dingi ni nzito kidogoMkuu naomba leo tuishie kwa Dingi kesi yangu naomba ihairishwe.[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
DAah naona hunitakii mema kamanda unanichoma kumoyo kabisa[emoji26] [emoji25][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kale kawimbo ka
Kuachwa kuachwa[emoji445] [emoji445]
Kuachwa ni shughuli pevu[emoji445] [emoji445]
Nani kaimba vile
Sent using Jamii Forums mobile app