Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Huyo kwakweli sijui aliko, hebu ngoja nijaribu kumwita kama atakuja
Cc Thad
Unaitwa huku tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwite na yule mwanafunzi wako mwingine![]()
![]()
![]()
Huyo kwakweli sijui aliko, hebu ngoja nijaribu kumwita kama atakuja
Cc Thad
Unaitwa huku tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa, mmoja anaitwaga The list sijui yupo wapi? Nimemkumbuka kwa Pigo kama hizi![]()
![]()
![]()
Naona umeingia na bakora yako kabisa huku ukichunguza misamiati kama kifimbo cheza.
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe unajua....haya badae Monchou! wangu,tu ....itakuamsha
umewaza nini?Thank God mama couldn't afford the abortion
Jibu Inna njoo unisadie kufafanua vizuri
Asante Munchie....sweet dreamskumbe unajua....haya badae Monchou! wangu,
Usimtete sana...Kazi ya Lindo haiwezi
Kumbe tuko mbali mbali?
Yupo mbali hukoo karibu na mkuu Wa wilaya Jerry muro mimi nipo nanjilinji, sina namna![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kamstari kwenye wimbo wa J Cole _ ATM nakapenda tu. Kanagusa life yangu kiasi flaniumewaza nini?