dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,831
- 20,344
Sio mapinduzi mr ni jamaa yake Wa kitambo nilisikiaga mahawala hawaachani ndio nimejua ule msemo una ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mapinduzi mr ni jamaa yake Wa kitambo nilisikiaga mahawala hawaachani ndio nimejua ule msemo una ukweli
moyoni mwakoWapi huko unataka kujikaribisha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inabidi uwe mpole.Sio mapinduzi mr ni jamaa yake Wa kitambo nilisikiaga mahawala hawaachani ndio nimejua ule msemo una ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu moyo wangu ushafungwa na funguo anayo mwenyewe....labda ujaribu kuvunja kofulimoyoni mwako
Mungu akubariki na kukulindaNamimi nalala....
Usiku mwema KingY
Maandiko yanasema "kwa kukirimu wageni, mnapokea na malaika"[emoji125] [emoji125]Wapi huko unataka kujikaribisha?
Mambo ni mazito kiongozi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama Gadaff vile, ila komredi umeambiwa upunguze uchochezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufuli linatekenywa mpaka linaachia lenyeweHuu moyo wangu ushafungwa na funguo anayo mwenyewe....labda ujaribu kuvunja kofuli
asee nitavunja tu .. kwakua umeniruhusuHuu moyo wangu ushafungwa na funguo anayo mwenyewe....labda ujaribu kuvunja kofuli
Amen
[emoji15] [emoji15] sasa hapa sijanywa ghahawa macho yapo hivi nikinywa je?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rudi komredi upate angalau kikombe cha ghahawa.
Sent using Jamii Forums mobile app