JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

picha ya siku[emoji28]
Screenshot_20180820-005233.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ATM ni wimbo wa J Cole,, wimbo huo unapatikana kwenye album yake mpya iliyotoka mwaka huu inaitwa KOD(Kids Over Drugs, Kill Our Demon)

Kwenye KOD kuna ngoma nyingi na nzuri kama ATM, Photographs, Kevin's Heart, 1985

Sent using Jamii Forums mobile app
Oooopppss yani nilikua nimesahau kabisa mkuu. Nilijua umemaanisha kitu kingine..
Ahsante kiongozi
 
Back
Top Bottom