Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Cc HB wa kigogo@HB wa kigogo nipe hi basi
Unajifanya huoni sioe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc HB wa kigogo@HB wa kigogo nipe hi basi
Munchie ataninunia siku nzima kukicha...ana wivu balaaa...![]()
![]()
![]()
Hata sijafika nilikokua nakimbilia, kuna sehemu nimejikwaa nimeumia njoo unipulize basi papoe![]()
(Leo sipati picha "munchie alivyokunja sura)
Sent using Jamii Forums mobile app


will make you feel better.Shukrani HB K...uwe na wiki njema
Asante nawe pia
Ulale salama malaika 100 wakulindeMbona wakimbia mapema hivi lindo limekushinda
Oooh Hallelujah natamani huyo munchie wako Mungu ampe hata usingizi wa wiki 3 niendelee kufaidi haya mambo.Munchie ataninunia siku nzima kukicha...ana wivu balaaa...
Lakini hiziwill make you feel better.
Mbona mie nipo au hunioni!Sina wa kupiga nae story
Nilidhani upo na shem wa humu mnabebishana kwanzaMbona mie nipo au hunioni!
Wanaume wa dar mna tabu sana![]()
![]()
![]()
Hata sijafika nilikokua nakimbilia, kuna sehemu nimejikwaa nimeumia njoo unipulize basi papoe![]()
(Leo sipati picha "munchie alivyokunja sura)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakimbia

MmmhhNilidhani upo na shem wa humu mnabebishana kwanza
Wewe wa mkoani kwani?
Niambie bbadeMmmhh
Ameeen

HahahahOooh Hallelujah natamani huyo munchie wako Mungu ampe hata usingizi wa wiki 3 niendelee kufaidi haya mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee malaika wote hao komredi, wala usiwasumbue ngoja nimwite Da'Vinci nafikiri ulinzi wake unatosha.
Nimeshangaa tu..Niambie bbade
HahaaaaaaAisee malaika wote hao komredi, wala usiwasumbue ngoja nimwite Da'Vinci nafikiri ulinzi wake unatosha.
Cc Astelia
Sent using Jamii Forums mobile app
We nawe Shem gani ulienae?Nilidhani upo na shem wa humu mnabebishana kwanza