Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Sayansikimu yangu ya std 2 inasema ukinywa ghahawa unaondoa usingizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sayansikimu yangu ya std 2 inasema ukinywa ghahawa unaondoa usingizi.
Ukifika huko unako kimbilia nishtue
Nipatie kikombe kimojaSayansikimu yangu ya std 2 inasema ukinywa ghahawa unaondoa usingizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
@HB wa kigogo nipe hi basiDAah naona hunitakii mema kamanda unanichoma kumoyo kabisa![]()
![]()
Me ngoja niwaachie
HB wa kigogo mpe hi Astelia
Mkeshe salama jamani wandugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio unatukimbia!DAah naona hunitakii mema kamanda unanichoma kumoyo kabisa![]()
![]()
Me ngoja niwaachie
HB wa kigogo mpe hi Astelia
Mkeshe salama jamani wandugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali umemwitikia, nilikua nishachoshwa na kelele zake akikuita hapa kilingeni.Abeeeee
Pole sana komredi, siku zote huwezi kula muwa bila kukutana na fundo.DAah naona hunitakii mema kamanda unanichoma kumoyo kabisa![]()
![]()
Me ngoja niwaachie
HB wa kigogo mpe hi Astelia
Mkeshe salama jamani wandugu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaAfadhali umemwitikia, nilikua nishachoshwa na kelele zake akikuita hapa kilingeni.
Cc HB wa kigogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wakimbia mapema hivi lindo limekushinda