Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
ohoo siku zote mwanaume ni mkubwa kwa ke ujueMarahabaa ...mtoto mzuri...hujambo?
KODNi kamstari kwenye wimbo wa J Cole _ ATM nakapenda tu. Kanagusa life yangu kiasi flani
Nishaisikia mahali hii statement....sawa baba...
Sijaelewa kiongozi...
Yupi tena huyo komredi, mimi nilikua sina mchepuko wa mwanafunzi mwingine zaidi ya njia kuu Thad na nikapigwa chini vilevile
Uthibitisho muhimu. Hili swala ni nyeti![]()
![]()
![]()
Hapa kwakweli ile 49% ya mkemia haikwepeki (Mungu saidia Inna asisome hapa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah!! Ameshatagiwa mzungu maxence noma sana habari amesha pata huko![]()
![]()
![]()
Hapa kwakweli ile 49% ya mkemia haikwepeki (Mungu saidia Inna asisome hapa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa, mmoja anaitwaga The list sijui yupo wapi? Nimemkumbuka kwa Pigo kama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubishi...yafumbe tujamani mimi macho yanakosa ushirikiano na akili . . . .
marahaba kipenzi, nimejiunga jf kwa ajili yako, acha nianze kufungukaNishaisikia mahali hii statement....sawa baba...
Shikamoo
Nani alimpiga chini mwenzake?Yupi tena huyo komredi, mimi nilikua sina mchepuko wa mwanafunzi mwingine zaidi ya njia kuu Thad na nikapigwa chini vilevile![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Usishangae tafadhali vaa gwanda ukakae sehemu yako ya lindo komredi