dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Inna mim kanishinda
Kuna njemba moja anadai mama kijacho wake kamanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Inna mim kanishinda
Nashukuru kwa kumtaarifu....![]()
![]()
![]()
Mkuu uache kusinzia, kila siku naona bibie anakushtua usiku mnono unakuja kuitikia asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee! Thad je?Inna mim kanishinda
Kuna njemba moja anadai mama kijacho wake kamanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama, za kwako?habari zenyuu?
Marahabaa ...mtoto mzuri...hujambo?
Inna mim kanishinda
Kuna njemba moja anadai mama kijacho wake kamanda
Sent using Jamii Forums mobile app
nitajitahidi chief....nitamwambia awe ananitingisha niamke.![]()
![]()
![]()
Mkuu uache kusinzia, kila siku naona bibie anakushtua usiku mnono unakuja kuitikia asubuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa kumtaarifu....
Kweli lakini....
Usimtete sana...Kazi ya Lindo haiwezi![]()
![]()
![]()
Aisee kumbe umesoma, nilikua namtania bhana, huyu namjua ni mlinzi shupavu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo mbali hukoo karibu na mkuu Wa wilaya Jerry muro mimi nipo nanjilinji, sina namna![]()
![]()
![]()
Sasa komredi unashindwa kufanya ukaguzi wa kushtukiza au yuko mbali na upeo wa macho yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
nitajitahidi chief....nitamwambia awe ananitingisha niamke.
tu ....itakuamsha