HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Mwache alaleUsingizini
Mwache alaleUsingizini
Mbona Huandiki neno
Kiss me Love![]()
![]()
babeee
Nafurahi kuskia hvyo kumbe hujawahi nunua safi sana...Asante kwa kuniheshimu na kujaliAsante sn Kwa kujali,Kwa sentence hii tu ninakupenda mpaka ndani ya mtima huko.Pia nakujali na kukuheshimu.Kununua ndo siwezi kabisaaaaaaaa,na sijawahi
Karibu lindoni
Love you sweetheart,

Sina neno nimepita tu maeneo hayaMbona Huandiki neno
Usiku mwema & siku njema.
Sijawahi ktk maisha yangu.Kwanza naweza Lia sn nikifanya hivo,naumia sn napowaona wadada wapo maeneo hayo nikitoka na washkaji sometimes.Nafurahi kuskia hvyo kumbe hujawahi nunua safi sana...Asante kwa kuniheshimu na kujali
Nisimulie hata hadithiiSina neno nimepita tu maeneo haya
Mapenzi mubashara
Asante mpaka kokolikoKaribu lindoni
Hii safari imeanza kunishinda.Asante mpaka kokoliko
Nane nilipata katoto fulani kakanipotezea malengo, ikabidi nibadili gia angani.Ticha hivi nane bado ee
Tena nimetoka maeneo ya hadithi kule... Wewe wanitia uvivu utaanza kusinziaNisimulie hata hadithii
Kwanini?Hii safari imeanza kunishinda.