Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ndo hivyo, usipokuwa na saa yako wanaweza kukupoteza hivi hivi.... Halafu na taarifa za habari wanazirekodi saa 5 usiku unashangaa unaoneshwa au kusikiliza habari ya saa 2 usikuKhaaa kumbe ndo maana
