Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Nakwako pia
Nakwako pia
Hii nimeiona kitambo mnoo around 2012 pia wikii kadhaa iliyopita nimeichekiYou are so back, movie ya miaka 10 nyuma?
UsingiziKwanini?
Daaa the banker kanifanya nisisome hadithi za jfTena nimetoka maeneo ya hadithi kule... Wewe wanitia uvivu utaanza kusinzia
Usingizi hauna adabu ila hongera angalau mwenzetu umeanza kupata usingizi si wenzio mawazo yanatutesa balaaUsingizi
OkayHii nimeiona kitambo mnoo around 2012 pia wikii kadhaa iliyopita nimeicheki
Usingizi ni afya. Kitu gani kinacho kupa mawazoUsingizi hauna adabu ila hongera angalau mwenzetu umeanza kupata usingizi si wenzio mawazo yanatutesa balaa
Ile hadithi nzuri haina arosto imeisha hadi mwisho ukanidharauDaaa the banker kanifanya nisisome hadithi za jf
ndio kwanza ukaanza kusinziaNawewe mchoyo nilikwambia unisomee hutakiiIle hadithi nzuri haina arosto imeisha hadi mwisho ukanidharau![]()
![]()
ndio kwanza ukaanza kusinzia
Maisha magumu mno majukumu kibaoUsingizi ni afya. Kitu gani kinacho kupa mawazo
Ulinitia uvivu siku ileeeNawewe mchoyo nilikwambia unisomee hutakii
Mawazo kama mie!!!? pole Kwa sie woteUsingizi hauna adabu ila hongera angalau mwenzetu umeanza kupata usingizi si wenzio mawazo yanatutesa balaa
Sirudii tena. Nisomee sasaUlinitia uvivu siku ileee
Kwakweli tutakomaMawazo kama mie!!!? pole Kwa sie wote
Nitakusomea kesho.. Hadithi yenyewe inatisha usiku wote huu subiri kukucheSirudii tena. Nisomee sasa
Jamani Aste.. si tuko wawili tu nitakukumbatia kama utaogopaNitakusomea kesho.. Hadithi yenyewe inatisha usiku wote huu subiri kukuche
Hapana bora tupige story tu mpaka usingizi utupitie..Jamani Aste.. si tuko wawili tu nitakukumbatia kama utaogopa
Kwasisi walinzi tunafurahia muda unavyokimbia1:22 AM