Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,443
- 110,072
Wee mwenyewe hata hadithi hunaHapana bora tupige story tu mpaka usingizi utupitie..
Wee mwenyewe hata hadithi hunaHapana bora tupige story tu mpaka usingizi utupitie..
Ninazo kibao ila najua hutozipendaWee mwenyewe hata hadithi huna
Bibie napenda kila kazi ya sanaa mimi hua sichagui. Nitaipenda coz imetoka kwakoNinazo kibao ila najua hutozipenda
Nakutania bhanaBibie napenda kila kazi ya sanaa mimi hua sichagui. Nitaipenda coz imetoka kwako
Utani wako unafanana na ukweliNakutania bhana
Ni si kweli... Usiku mwema ngoja nijilaze kidogoUtani wako unafanana na ukweli
Na kwako pia Mungu akulindeNi si kweli... Usiku mwema ngoja nijilaze kidogo
AminaNa kwako pia Mungu akulinde
Nyimbo za kuvutia vutia muda.
Holy Grail - Jay Z ft Justin Timberlake
Particula - Major Lazer & Dj Maphorisa Ft Nasty C, Ice Prince, Jidenna & Patoranking
Bobo - Olamide
Renegades - X Ambassadors
Love Me Now - John Legend
Nice For What - Drake
Stereo Hearts - Gym Class Heroes
Weka vyombo ,weka mondeWengine tunawakaa tu, kula maji mpaka majogoo
Njoo kolwezi ,RDC ni nacho cha kutoka Cabinda,AngolaNakupatia wapi...
Hapo umeniweza boss sina uwezo wa kufika hukoNjoo kolwezi ,RDC ni nacho cha kutoka Cabinda,Angola
Uwezo wako ni kufika wapi?Hapo umeniweza boss sina uwezo wa kufika huko