JamiiForums Usiku wa manane
haya bwana


Ngoja nikimbilie kwenye riwaya nivute muda usiku wa manane umeshafika
Wtf yaani nimekua mvivu wa kujisomea nowdays hadi riwaya sisomi yanii. (The banker kachangia niache kusoma riwaya jf)
Hafu nina vitabu ving kwa foni ila uvivu tu sijasoma hata kimoja
 
Back
Top Bottom