JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wtf yaani nimekua mvivu wa kujisomea nowdays hadi riwaya sisomi yanii. (The banker kachangia niache kusoma riwaya jf)
Hafu nina vitabu ving kwa foni ila uvivu tu sijasoma hata kimoja
Mimi mwenzio hata nijaribu vipi kuacha

Bado sikomi.. Jitahidi bwana usome
 
Umenikumbusha Kipande flani cha Tom na Jerry kinaitwa Sleeping Tom. Alikua anajitahidi kufumbua macho hadi anaziwia na Tooth pick ila wapi usingizi umemkaba
[emoji16] [emoji16] hayo yalinikuta asubuhi ingawa sikutumia tooth pick
 
Back
Top Bottom