JamiiForums Usiku wa manane
Nakumbuka kitambo mida kma hii navizia wazee wamelala unanikuta ukumbini nimewasha tv na sauti nime mute niko na channel ya MGM nikiangalia mambo yetu. Nan anakumbuka hio channel?
 
Wee jamaa ww hii ndio ilikua tabia yangu na dogo. Pengine nacheki Movie zone dingi akitoka najifanya nimesinzia anazima tv. Mida hii mgm wanaonyesha muvi za kudinyana sana.
Are sure sio dogo langu wewe
 
Nna waswasi y r my brother from another mother
 
Back
Top Bottom