Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,440
- 110,065
Tag mee please nijeeHaya nitakusomea usijali[emoji8] haya kwa kuanza twende nikakusomee dunia haina usawa ya bibie Shunie imeisha haina arosto wala nini
Tag mee please nijeeHaya nitakusomea usijali[emoji8] haya kwa kuanza twende nikakusomee dunia haina usawa ya bibie Shunie imeisha haina arosto wala nini
Udogo sio mzuri ujue?Unafaa kuongea na mim mdogo mwenzio[emoji56] [emoji56]
Uwe unalala mapema sasa utakua na red eyes utaitwa mchawi[emoji16] [emoji16] hayo yalinikuta asubuhi ingawa sikutumia tooth pick
Pumzika salama...Namm naenda
😎02:15
Muda wa taarabu sasa natamani wakate umeme
Ukalale sasa...Hatimaye leo nimepata tabasamu la jf expert member ni nadra sana
Natanguliza shukrani mkuu
[emoji23] [emoji23]02:15
Muda wa taarabu sasa natamani wakate umeme
Udogo tumeumbiwa mim na wew na mungu haezi umba kitu kibya kwa waja wake...Udogo sio mzuri ujue?
Na wewe piaPumzika salama...
Najitahidi usingizi sipati..na ujana huu niitwe mchawi..uwiiiUwe unalala mapema sasa utakua na red eyes utaitwa mchawi
Naomba na mimi unitunukuUkalale sasa...
Nikumbushe!Naomba na mimi unitunuku
Nilikuambia najitolea kukuliwaza ukakataa.Najitahidi usingizi sipati..na ujana huu niitwe mchawi..uwiii
Mkuu kama hutojali unaweza nielekeza[emoji23] [emoji23]
Lile tabasamu zito linaloleta usingiziNikumbushe?
Wananikera mno[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] pole02:15
Muda wa taarabu sasa natamani wakate umeme