Think Again
Senior Member
- Mar 22, 2015
- 175
- 129
Usipo think again utakuwa unaibiwa kila sikuUna matani ujue...Mimi sitaki ku think again
Usipo think again utakuwa unaibiwa kila sikuUna matani ujue...Mimi sitaki ku think again
Labda nianze kesho kwa kweli...sasa hivi...sitaki ku think again....Usipo think again utakuwa unaibiwa kila siku
[emoji3] kesho ni Jumatatu ujue.....asante kwa kuipendaLabda nianze kesho kwa kweli...sasa hivi...sitaki ku think again....
Nimependa ID yako...
Kesho yangu Mimi ni J2.[emoji3] kesho ni Jumatatu ujue.....asante kwa kuipenda
Jumapili ni leo aiseeKesho yangu Mimi ni J2.
Karibu tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unamtaka nani?woyooooo me sikutaki
Barikiwa wewe uliyekwisha Iona j2...Jumapili ni leo aisee
kinyume chake tu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio kukausha kiivo.
Saivi ni usiku wa masaba, manane ni baadae kidogoJF usiku wa manane
Demiss unasumbuliwa na kitu gani hasa mwanangu.Mishikaki ya Royal village mitamu jaman khaaaa
Siku si inaanza saa sita, kalenda ishabadirikaBarikiwa wewe uliyekwisha Iona j2...
Nimeelewa mkuu[emoji106]kinyume chake tu mkuu
Hali yako.JF usiku wa manane
wazee wamemtembelea?nimeona sasa hivi zimetoka gari mbili mbio kweli subaru foresta na ford everest nyeupe... na hizi gari sijawahi kumuona nazo jiran yangu
Manane inaanza muda si mrefuSaivi ni usiku wa masaba, manane ni baadae kidogo
Salama tuHali yako.
Bado ni usiku wa masabaManane inaanza muda si mrefu