Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,440
- 110,065
Heshima yako mkuuKuna radio nasikiliza inapiga oldies za Bongo, hapa nawasikiliza Hard Blasters na kibao chao change Niamini...
Heshima yako mkuuKuna radio nasikiliza inapiga oldies za Bongo, hapa nawasikiliza Hard Blasters na kibao chao change Niamini...
[emoji23] hapana sio kabisaaaPapri
Radio gani pengine naweza kuipta hapa niskize.Kuna radio nasikiliza inapiga oldies za Bongo, hapa nawasikiliza Hard Blasters na kibao chao change Niamini...
Vizuri pia, waweza ziba pengo lake🙈🙈[emoji23] hapana sio kabisaaa
Itabidi tu ukinogewa jiunge.01:38
Uswahilini kwetu kigodoro ndio kimenoga alafu jirani sasa..nakesha nao tu hakuna namna
Lile pengo lake halizibiki kabisaVizuri pia, waweza ziba pengo lake[emoji85][emoji85]
Kujiunga bado sanaItabidi tu ukinogewa jiunge.
[emoji23] na wewe unajua hilo unataka kunidanganya tu hapaHahaaaa umenifanya nicheke.
Sawa mkuu karibu kuchezea upepo wa bahari.Kujiunga bado sana
Hamna pengo hilo waweza kuliziba basi tu hutaki[emoji23] na wewe unajua hilo unataka kunidanganya tu hapa
Ahsante bana...bagamoyo road kama sikoseiSawa mkuu karibu kuchezea upepo wa bahari.
Pole mkuu kma una bando ya kutosha ingia youtube utafte movie inatwa rings inaweza kukusaidia kupata usingizi.Is late na sipati usingizi
PoleIs late na sipati usingizi
Hapana ni stone town Zanzibar.Ahsante bana...bagamoyo road kama sikosei
Unapataje usingizi ikiwa wasikiza singeliIs late na sipati usingizi
Nimekesha na series the ol day stil i cant get a napPole mkuu kma una bando ya kutosha ingia youtube utafte movie inatwa rings inaweza kukusaidia kupata usingizi.