Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Shukrani sanaKaribu kwa mara ingine
Shukrani sanaKaribu kwa mara ingine
hahahaha!!!!Niliwamiss mno ndugu zangu.
Majukumu yananitenganisha nanyi. Bado nimebanwa, nimepita tu kuwasabahi. Niko busy na pilika za shambani....nikishavuna nitarudi rasmi kijiweni
Kama kawa mkuuHabari bundi wenzangu
Naomba kuvunja sheria ya Uzi huu kwa ajili yako Thad...nakumiss mnoo we unaelewa...acha tulime tuu kwanza tukivuna tutafurahi pamoja,..take care!!!!Watu wa humu nimewamiss sana, naam watatu nimewakumbuka zaidi....
Nazikumbuka zile siku,
Tulizokesha wote usiku,
Japo sikuwa na kitu,
Maisha yangu yalikuwa ya furaha kwa kuwa nanyi.
Salamu zangu za dhati kabisa ziwafikie:
Nleterewa Nganengo,jjes,Neybright,Mwifwa,HB wa Kigogo,Kichwa Kichafu,Maserati,Spade 4 spade,No escape, Manga ML,Inna,Demiss,Iceman 3D,mumu,Mr. Miller,Ipogolo,mgunga pori,carbamazepine.....(nakupenda sana best sijui kwanini, ila jina lako limenishinda kabisa kulishika)
Na wengine wote!
Ujumbe: Wakati ni ukuta, kamwe usishindane nao!
Tabia ya kuwa jf usiku wa manane..... nilicoment tu na chaji ya mwili wangu ikaisha na ndio nimeshtuka muda huuTabia ipi hiyo?
unalima nn wewe?Naomba kuvunja sheria ya Uzi huu kwa ajili yako Thad...nakumiss mnoo we unaelewa...acha tulime tuu kwanza tukivuna tutafurahi pamoja,..take care!!!!

ThadWatu wa humu nimewamiss sana, naam watatu nimewakumbuka zaidi....
Nazikumbuka zile siku,
Tulizokesha wote usiku,
Japo sikuwa na kitu,
Maisha yangu yalikuwa ya furaha kwa kuwa nanyi.
Salamu zangu za dhati kabisa ziwafikie:
Nleterewa Nganengo,jjes,Neybright,Mwifwa,HB wa Kigogo,Kichwa Kichafu,Maserati,Spade 4 spade,No escape, Manga ML,Inna,Demiss,Iceman 3D,mumu,Mr. Miller,Ipogolo,mgunga pori,carbamazepine.....(nakupenda sana best sijui kwanini, ila jina lako limenishinda kabisa kulishika)
Na wengine wote!
Ujumbe: Wakati ni ukuta, kamwe usishindane nao!

Yeah nilikua naumwaUlikuwa unaumwa?
Hii ID hiiThad
Nakumiss sana best ake,nashukuru kwa salamu hizi.
Penda wewe