Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
WamepumzikaWakuu mbona sku hz mnalala sana?
WamepumzikaWakuu mbona sku hz mnalala sana?
Popo wamegeuka kuku siku hiziWapo wapi popo
Tupooohmapema sana leo wakuu
Mkuu hilo swala la trillion 1.5 kutojulikana zilipo sio mchezo wacha tunapopata ucngz tulale tuWakuu mbona sku hz mnalala sana?
cjakuelewa
Tupo mkuuNapita tu kuwasalimu pooopoz
Kwa msosi huo, wewe sio wa DarNdio nakula...baada kutoka kuhangaika..
Anybody????View attachment 748501
Duuh Mungu akusaidieMniombee nifike salama!maana natokea Dodoma!now chalinze heading Dsm!
JF usiku wa Manane
Duh! Mgeni km wewe ukitaka kuja kwangu utoe taarifa mwezi mmoja kabla
msosi wa watu 6 DarWatu mida hii wachimba mafuta hukoHiki kijiwe kimesuswa dah!
🙂Nipo comrade, Nilipatwa na misukosuko ya dunia Ila Mungu mwemaHiv mdogo wangu dingimtoto amepotelea wapi?
Pole sana🙂Nipo comrade, Nilipatwa na misukosuko ya dunia Ila Mungu mwema