JamiiForums Usiku wa manane
mimi sijambo kabisa, nafurahi umenifanya nicheke kwa kiwango cha juu muda huu...

kwahiyo uko ni mahaba tu hadi kwa watoto mwaitikia hivyo.....

na ww ni mtu wa Tanga Ney?
Kwetu tukisema mahaba twamaanisha marhabaah, tukisema maakhabati ndio mahaba ya kwenu ninyi.
Sisi twatangaza upendo tuu kwa rika zote mwanafunzi wangu mathalani hatuvunji sheria basi sisi burudani

Mimi sio wa Tanga natokea mbali kwelikweli.
 
ndio maana ukawa mwalimu wangu, ss hayo yote mm ningeyajulia wapi...

mbali kweli kweli ndio wapi huko?
 
wakuu tupeane ushasuri bas..
kuna mashost wa girlfriend wangu wapo wawili yani mitego mingi mara kunikalia kihasara siwaelewi..
Au ndo wameambizana wanipime imani.
Nikiwaspotezea itakua poa kweli tupeane ushauri
Hapa kwenyewe saivi nachat na mmoja wao ananiambia upuuzi a sexchat nimemchunia
 
Back
Top Bottom