Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
Salama kabisa....asante kutufungulia getiSafi tu boss, za kitambo
Salama kabisa....asante kutufungulia getiSafi tu boss, za kitambo
funguo unazo?leo gate nafunga mimi,
karibu, zinahusu nini hizo story?Poppoooooz
Mnaonaje nikianza kuleta storiez fupi humu kuchamngsha jukwaa!?
Okey mambo yakikaa sawa usinisahau na mimi katika ulimwengu wa mafaonivumilie my,bado naweka mambo sawa huu mwaka naona kama ushaisha.
mkuu emu nielekeze nichukue kwa nanfunguo unazo?
Hahahakaribu, zinahusu nini hizo story?
Mwifa anakuaga nazo ila leo geti limefunguliwa na joseverest kwahiyo fanya kumuona...mkuu emu nielekeze nichukue kwa nan
shkamo mwalimuOkey mambo yakikaa sawa usinisahau na mimi katika ulimwengu wa mafao
Upo lovely, mbona sikuoni machoni pangu?Ney wa mimi usku mwemaaa0
Unaonekana kwa tabu sanaKi vip tena ney
Nipo mpenziUpo lovely, mbona sikuoni machoni pangu?
Au ndio umeanza tabia mbaya ya kujificha??
Dah utakua umefanya la maana sana mkuuPoppoooooz
Mnaonaje nikianza kuleta storiez fupi humu kuchamngsha jukwaa!?
Sawa broDah utakua umefanya la maana sana mkuu
Sawa mkuu wala sina tatizo kabisamkuu pita kimya kimya unatafutwa!
Mahaba ya mumu na mzigua, hujambo wewe?shkamo mwalimu
Mkuu kwan gate wanafunga ME tu hakuna KE ana spare key?Mwifa anakuaga nazo ila leo geti limefunguliwa na joseverest kwahiyo fanya kumuona...
Karibu tenaMi napita tuu wala sina tatizo na mtu![]()
sawa mkuuSawa mkuu wala sina tatizo kabisa
sawa....lete tu,Hahaha
Vi hadithi tuu
Ila vifupi vifupi.
Na havita katisha stori za kawaida