JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kwetu chekecheke mombasa kuweka r ni matusi,

Twaitika mahaba tuu [emoji28]
Kazi kwako kutafsiri, asiyejua maana haambiwi maana.

Vipi wajionaje hali?
mimi sijambo kabisa, nafurahi umenifanya nicheke kwa kiwango cha juu muda huu...

kwahiyo uko ni mahaba tu hadi kwa watoto mwaitikia hivyo.....

na ww ni mtu wa Tanga Ney?
 
Back
Top Bottom