Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,110
Hahahakazi ndogo ndogo tu
Umemfungia
Hahahakazi ndogo ndogo tu
haya mwalimu....usiku mwemaJamani naomba niwakimbie usiku mwema wote
Kipenzi iceman usichelewe kurudi home baby. [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
mmh!wakuu tupeane ushasuri bas..
kuna mashost wa girlfriend wangu wapo wawili yani mitego mingi mara kunikalia kihasara siwaelewi..
Au ndo wameambizana wanipime imani.
Nikiwaspotezea itakua poa kweli tupeane ushauri
Hapa kwenyewe saivi nachat na mmoja wao ananiambia upuuzi a sexchat nimemchunia[emoji3]
[emoji41]Hahaha
Umemfungia
Haya nakuja my love.Jamani naomba niwakimbie usiku mwema wote
Kipenzi iceman usichelewe kurudi home baby. [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
She was such a free soul before she met you[emoji41]
Npie ushaur mkuu niweke heshima au nipotezee..mmh!
how did you know?[emoji3]She was such a free soul before she met you
[emoji1]
potezea chiefNpie ushaur mkuu niweke heshima au nipotezee..
Ila nahisi kuna kamchezo kwanini wanizingue wote..
Hawanipati kwa kweli
Kweli mkuu nitafanya hivyopotezea chief
PotezeaaNpie ushaur mkuu niweke heshima au nipotezee..
Ila nahisi kuna kamchezo kwanini wanizingue wote..
Hawanipati kwa kweli
I knew herhow did you know?[emoji3]
better...[emoji41]I knew her
Ryt now i dont know her anymore [emoji1]
Sawa broh ngoja niwavungie kama siwaelewiPotezeaa
Hata kama wana kutaka si kwa mfululizo huo wametumwa hao. Kwa sasa jifanye huwaelewi.
Ila kama una mtaka mmoja wapo kweli Kaa muda mrefuuuuu, halaf urudi kumtagert yule unaye mkubali zaidi.
She was lively. [emoji1]better...[emoji41]
EeehSawa broh ngoja niwavungie kama siwaelewi
she is more than happy....we complete eachotherShe was lively. [emoji1]
Ila if she is happy hakuna noma
Kwa kweli sina neno kakaaashe is more than happy....we complete eachother
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kama ulikuwepo akilini mwangu..Eeeh
Ukikaa kama mwezi hivi
Mzukie unaye mtaka, najua kuna mmoja hapo una muelewa [emoji23]