sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Eeh bana ,tabu tu mkuuPaka sasa mbili bila....
Vipi umekumbatia mto?
Bora kukuche tu ,tuamsheHahahaha mkuu....!
Kutakucha tuuu
Karibu machinjioni,upate nyama safiWazee mpumzike sasa
Mi niko lindoni hapa nachapa kazi
Haaaa! Asee na nyie kumbe mna chapa kaziKaribu machinjioni,upate nyama safi
Bora kukuche tu ,tuamshe
Unalinda jukwaa. Kazi njemaHaaaa! Asee na nyie kumbe mna chapa kazi![]()
Basi nikitoka lindo ntapitia
Haya kakaUnalinda jukwaa. Kazi njema
Aisee.Hii sasa dharau. Inamaana amekosekana mfunga geti kabisa hadi saa hizi? Nalifunga
Nipo mkuu
Hata mimi nimekuhamu balaaaMekuhamu balaah
Nakuona kiongozi katika ujenzi wa lindoWazee mpumzike sasa
Mi niko lindoni hapa nachapa kazi
hahahaHabari ni nzuri!!
Imebidi nifuate upepo tuu, mchana siwaoni
hahaha ushafeli maskini poleeNikutakie tuu usiku mwema mwaya!! Mie macho hayana ushirikiano!!
Bro hua walala saa ngap...,?Hata mimi nimekuhamu balaaa
Ki vip tena neyPoa HB mzima wewe?
Mbona siku hizi hueleweki?