jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Tu
PoooooMpo humu
PoooooMpo humu
U sjali take my wordsAm waiting maa
Mbona kumepoaTu
Pooooo
Pole sana Dear, basi pumzika. Miller sijui yupo wapi?Niko taabani leo wifii![]()
Nimejikuta nacheka ila sababu sinaPoa HB mzima wewe?
Mbona siku hizi hueleweki?
Haaa kivipi mkuuMbona me sipati wa kuongea nae
Si naona hamniongeleshi mnaongea vya kwenu tuHaaa kivipi mkuu
Changamsha genge basiMbona kumepoa
Karibu tuzungumzeMbona me sipati wa kuongea nae
Asante ney,leo tunaanzia wapiKaribu tuzungumze
Nimejikuta nacheka ila sababu sina




Na wewe ungebisha hodi ukaribishwe kwenye maongeziSi naona hamniongeleshi mnaongea vya kwenu tu
Haya basi hodiNa wewe ungebisha hodi ukaribishwe kwenye maongezi
Embu leo fanya kwanza utambulishoAsante ney,leo tunaanzia wapi
Upi tena neyEmbu leo fanya kwanza utambulisho